https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Polisi asimulia walivyomnasa msichana Mzungu Airport akisafirisha madawa | Muungwana BLOG

VIDEO: Polisi asimulia walivyomnasa msichana Mzungu Airport akisafirisha madawa

Kamanda wa Polisi viwanja vya ndege Tanzania, ACP Jeremiah Shila amefunguka kuhusiana na tukio la kumkamata abiria aitwaye Linda Mazure, raia wa Latvia (22) mwenye hati ya kusafiria namba LV5893796 akiwa na madawa ya kulevye aina ya Heroine yenye uzito wa 4.87 kg akiwa ameficha kwenye mabegi mawili.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE