VIDEO: Sakata la CAG laja kivingine , Mbowe asema Spika alijiongelea si maamuzi ya Bunge


VYama 8 vya upinzani vimeibuka na kusema suala la kauli ya Spika kuwa Bunge halitafanya kazi na CAG ni jambo linalotakiwa kufanyiwa maamuzi ya Busara kwani Spika akiona CAG anamchosha anatakiwa kujihuzuru kama Spika.

Wakati huo huo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa alichokisema Spika sio maamuzi ya Bunge ni maamuzi yake Binafsi.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE......