https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Sakata la kutokomeza ukatili mkoa wa Manyara | Muungwana BLOG

VIDEO: Sakata la kutokomeza ukatili mkoa wa Manyara

Akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo wanakamati wa mpango maalum wa kutokomeza ukatili Mkoa wa Manyara, Mwenyekiti katika mafunzo hayo ambaye Pia ni Afisa mipango Mkoa wa Manyara, Anza-amen L.D.Ndossa amewataka wanaohusika kupinga vitendo hivyo ikiwemo Ukeketaji kuhakikisha wanatoa taarifa ambazo wamezichunguza na kutoa vielelezo ili kuondoa Ukakasi uliopo Kwa viongozi wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti anaetaka ushahidi wa waliokeketwa na sio kuendelea kutangaza kuwa mkoa huu unaongoza na kuleta sifa Mbaya.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE