https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO:Kamanda Muroto afunguka, asema watakao andamana Dodoma 'WATAPIGWA WATACHAKAA' | Muungwana BLOG

VIDEO:Kamanda Muroto afunguka, asema watakao andamana Dodoma 'WATAPIGWA WATACHAKAA'


Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amewatahadharisha wananchi wote waliopanga kufanya maandamano siku ya kesho kushinikiza Bunge kufanya kazi na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assaad kuwa wasithubutu kufanya hivyo kwani watapigwa,watachakaa.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE...