4/17/2019

VIDEO: Maajabu ya chem chem Mkoa wa Manyara

Mkoa wa Manyara umejaliwa kuwa na vivutio vingi,achilia mbali ziwa Manyara lenye maji yanayochemka,ziwa Babati lenye viboko,wanyama wa kila aina hifadhi ya Tarangire,kubwa zaidi ni maji moto yanayopatikana katika kitongoji cha Masware Magugu katika wilaya ya Babati.

Muungwana Tv imefika na kuona maji hayo yanayotoka kwenye chem chem yanatumiwa na wakazi wa Masware na nje ya Masware katika kuogea na matumizi mengine,lakini inadaiwa kuwa maji hayo yanaondoa chunusi,harara na upele pamoja na kuondoa mikosi.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI:....USIKOSE KU-SUBSCRIBE