Baba mzazi wa Haji Manara amuombea msamaha mwanae kwa Yanga


Baba mzazi wa msemaji wa Simba Haji Manara, Sunday Manara, ambaye alikuwa mchezaji wa Yanga, amemuombea msamaha mwanae kwa mashabiki wa Yanga kutokana na maneno yake ambayo amekuwa akiwakejeli mitandaoni.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE