BREAKING NEWS: Bus la Arusha Express lawaka moto


Na.Clavery Christian, Bukoba

Bus la Arusha Express lawaka moto Bukoba eneo la kwa kagambo mda mchache baada ya kuanza safari lakini abira wote watoka salama.


Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Muungwana Blog.