BREAKING: Rais Magufuli aondoka nchini, aongozana na Dkt. Kikwete


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesafiri leo kuelekea nchini Afrika kusini huku akiongozana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.