CHUO CHA ST JOSEPH SHINYANGA KINATANGAZA MUHULA MPYA WA MASOMO

Chuo cha MTAKATIFU JOSEPH SHINYANGA ni taasisi iliyosajiliwa na serikali kupitia baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE)na mamlaka ya ufundi stadi VETA kwa namba ya usajili REG/BTP/076P, Chuo kinatoa mafunzo katika ngazi ya Cheti(Certificate) na stashahada(DIPLOMA)

Katika kozi za

  1. HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
  2. PROCUREMENT AND SUPPLY
  3. BUSINESS ADMINISTRATION
  4. ACCOUNTANCY
  5. ICT
  6. JOURNALISM $ MASSCOMUNICATION
  7. FULL SECRETARIAL 
  8. RECORDS MANAGEMENT
  9. COMMUNITYDEVELOPMENT

Sifa za kujiunga na chuo ni uwe umemaliza kidato cha NNE mwaka wowote na kupata angalau alama D mbili tu.

Chuo kipo shinyanga mjini na muhula wa masomo utaanza tarehe 15/07/2019

JINSI YA KUJIUNGA NA CHUO
1.DOWNLOAD FOMU KISHA IJAZE NA KUITUMA CHUONI KUPITIA ANUANI YA POSTA.
2.JAZA FOMU KUPITIA MTANDAO WA CHUO (ONLINE APPLICATION)

Kwa masiliana zaidi piga namba zifuatazo 0717583713,0788815842,0769982572 au tembelea TOVUTI YETU  www.stjcs.ac.tz

Wahi sasa nafasi zimebaki chache na muhula wa masomo umekaribia kuanza