.

5/23/2019

Picha: Spika wa Bunge aagana na Balozi wa Sweden nchini


Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimueleza jambo Balozi wa Sweden nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika Ofisini kwake kumuaga baada ya kumaliza muda wake.