Loading...

5/23/2019

Picha: Ukaguzi aliofanya IGP Sirro leo JNIA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akikagua gwaride aliloandaliwa kwa ajili yake wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Kikosi cha Kutuliza Ghasia FFU Ukonga Dar es salaam, ambapo katika ukaguzi wake IGP Sirro alizungumza na maofisa na askari wa kikosi hicho. Picha na Jeshi la Polisi.

IGP Sirro leo amefanya ziara ya ukaguzi katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) terminal III kwa lengo la kujionea maendeleo ya ujenzi wa kiwanja hicho ambacho hadi sasa ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 99.Loading...