https://monetag.com/?ref_id=TTIb Picha: Wananchi wajitokeza kwa wingi kushuhudia mashindano ya Quran | Muungwana BLOG

Picha: Wananchi wajitokeza kwa wingi kushuhudia mashindano ya Quran


Wananachi wamejitokeza kwa wingi sana katika uwanja wa Taifa kushuhudia Mashindano ya Quran. Mashindano haya yanaratibiwa na Taasisi ya Al Hikma chini Sheikh Nurdin Kishk ikiwa ni 'Musakaba wa 20' kuandaliwa na Taasisi hiyo.