Loading...

5/21/2019

Picha: Waziri Mwakyembe azitaka kamati za Michezo kuchangamka


 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amezitaka kamati za Michezo za Mikoa na Wilaya kuongeza kasi katika kukuza na kuendeleza michezo nchini.

Hayo ameyasema leo Jijini Dodoma alipokuwa akifungua kikao cha tatu kati la Baraza la Michezo la Taifa na Kamati za Maendeleo ya Michezo .Loading...