https://monetag.com/?ref_id=TTIb Sevilla FC waishurukuru Tanzania, Simba SC | Muungwana BLOG

Sevilla FC waishurukuru Tanzania, Simba SC


Baada ya jana Simba SC  kuchezea kichapo cha 5 kwa 4 dhidi ya Sevilla FC, timu hiyo ya Hispania imeishukuru kwa mchezo huo.

Sevilla FC, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameandika kuwa "Asante Tanzania, ahansate Simba SC kwa
kutupa utendaji unaostahili mabingwa."

 "ASANTE Tanzania, THANK YOU @SimbaSCTanzania, you gave us a performance worthy of champions 🦁👏 #WeareSevilla #LaLigaWorld," iliandika page ya Timu hiyo.