https://monetag.com/?ref_id=TTIb Simba SC waibuka na ushindi mnono dhidi ya Mtibwa Sugar | Muungwana BLOG

Simba SC waibuka na ushindi mnono dhidi ya Mtibwa Sugar


Dakika 90 zimekamilika Uwanja wa Uhuru kwa Simba SC kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.

Ushindi huo unairejesha Simba kileleni kwa kuishuhsa Yanga ambayo ilikuwa kileleni baada ya kufikisha jumla ya pointi 83 huku Simba ikifikisha jumla ya pointi 85 wakiwa wamefunga jumla ya mabao 72 huku kinara wa upachikaji wa mabao akiwa ni Meddie Kagere mwenye mabao 20 kwa sasa ligi kuu Bara.

Simba imebakiwa na michezo minne ili kukamilisha mzunguko wa pili msimu huu ambapo mpaka sasa wamebakiza pointi tano ili kuweza kutetea ubingwa wao.