https://monetag.com/?ref_id=TTIb Trey songz apata mtoto | Muungwana BLOG

Trey songz apata mtoto


Msanii wa R&B Marekani, Trey songz ametangza kupata mtoto.

Kupitia mtandao wa Instagram ameweka picha ya mtoto wake wa kiume aliyempa jina la Noah na kuandika “My son Noah. We are blessed and overjoyed. Peace.”