VIDEO: Askofu Bugonza anena mazito/wajinga wengi hujulikana pale wanapojieleza


Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza Amesema wajinga wengi hujulikana wakati wanapojieleza lakini ili kuwasaidia ni kuwaruhusu waseme ili kutafuta tiba.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE