VIDEO: Goli la Makambo lilivyopeleka kilio kwa Mbeya City (1-0)


Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Goli hilo pekee la Yanga limefunga na mshambuliaji wao hatari Heritier Makambo ambaye amefikisha magoli 17 kwenye ligi hiyo msimu huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE