Loading...

5/18/2019

VIDEO: Hatuogopi rufaa ya Serikali, tutapambana Mahakamani - Bob Chacha Wangwe

Mkurugenzi wa Jukwaa la Katiba nchini ambaye pia ni Mwanaharakati, Bobo Chacha Wangwe amesema wamejipanga kukabiliana na rufaa iliyokatwa na upande wa Serikali baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kutoa hukumu ya kubatilisha sheria inayowapa Mamlaka Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi Mkuu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Loading...