https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Makambo atimka Yanga kimya kimya, asaini Horoya ya Guinea | Muungwana BLOG

VIDEO: Makambo atimka Yanga kimya kimya, asaini Horoya ya Guinea


Mshambuliaji hatari wa Yanga, Heritier Makambo amejiunga na klabu ya Horoya AC ya Guinea kwa mkataba wa miaka mitatu. Kwa mujibu wa mtandao wa timu hiyo Makambo mwenye umri wa miaka 25 amesaini mkataba huo huku akipewa nafasi kubwa ya kufanya makubwa kwenye ligi ya nchi hiyo hasa baada ya mafanikio akiwa kwenye kikosi cha Yanga.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE