VIDEO: Mchungaji Rwakatale awapiga jeki wajane/Dini iliyo bora hufariji


Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto lililopo Mikocheni B, Assembles of God, Dk. Getrude Rwakatale, Leo katika ibada ametoa msaada wa unga kwa wanawake Wajane na Mayatima kwa lengo la kuwafariji na kuwatia moyo kama vitabu Vitakatifu vinavyoeleza. Kwa upande wa waumini wa kanisa hilo wamesema kuwa Mchungaji huyo amekuwa akitoa misaada mbalimbali kwa watu pasipo kubagua umri na na jinsia.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE......