VIDEO: Singida United wajibu mapigo kwa Manara/ Hali ya hatari Msimbazi


Klabu ya soka ya Singida United kupitia kwa Mkurugenzi wake Festo Sanga, wameahidi kuifunga Simba katika mchezo wao wa ligi kuu Tanzania Bara ambao utachezwa Jumanne hii katika uwanja wa Namfua Singida.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE