Vijana watakiwa kuoa wake wawili kwa lazima, vinginevyo kutupwa jela


Mfalme Mswati III wa Eswatini amewataka vijana wa nchini kwake waliofika umri wa kuoa,kuoa haraka na wanatakiwa kuoa wake wawili.

Kiongozi huyo ameonya kuwa kinyumbe na hapo vijana hao watajikuta wametupwa jela kwa kosa la kutooa wake zaidi ya wawili.

Utakumbuka hadi kufiki sasa Mfalme huyo Mswati III wa Eswatini tayari yeye ana wake 15 na kuweza kujaliwa kupata watoto 23.
Mfalme Mswati III wa Eswatini