Loading...

5/23/2019

Waziri Mkuu afanya mazungumzo na mabalozi wa Finland na Switzerland nchini


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifanya mazungumzo na na Balozi wa Finland nchini,  Mhe. Pekka Hukka ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkaribisha nakufanya mazungumzo na Balozi wa Switzerland nchini, Mhe. Florence Tinguely Mattli, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019.

Loading...