Loading...

6/10/2019

Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya mfungaji Bora UEFA National League.


Mshambuliaji wa Taifa la Ureno, Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mfungaji Bora katika mashindano ya UEFA National League.

Ronaldo ametwaa tuzo hiyo baada ya kufunga mabao 3 katika mashindano hayo na mabao yote haya alifunga katika mchezo mmoja dhidi ya Uswisi.

Hapo bado, magoli yake matatu yameingia katika kinyang'anyiro cha kusaka goli bora akishindana na Matthijs de Ligt wa Uholanzi.

Loading...