Loading...

6/13/2019

Jonas Mkude aongeza mkataba Simba SC


Kiungo bora wa kati wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude ni rasmi sasa kuwa ataendelea kuwa sehemu kikosi hicho baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwachezea Mabingwa hao wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL).

Loading...