PICHA: Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 2019/2020 yawasilishwa katika kikao cha baraza la wawakilishi

Na Thabit Hamidu, Zanzibar

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Balozi Mohamed Ramia, akionesha mkoba wanye Bajeti ya Serekali kwa mwaka wa Fedha 2019 – 2020 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi chukwani.

 WAGENI NA Viongozi mbalimbali wa Serekali waliohudhuria katika hafla ya kusomwa kwa Bajeti ya Serekali kwa mwaka wa Fedha 2019 – 2020 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi chukwani

MAKAMU wa pili wa Raisi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri Ofisi ya Makamo wa Pili wa Raisi, Mohamed Aboud Mohamed, (katikati) na Waziri wa Biashara na Viwanda Amina Salum Ali.