Loading...

6/13/2019

Picha: Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Spika wa Rwanda


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi na mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda, Mukabalisa Donatille. Mazungumzo yao yalifanyika  katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es SalaamLoading...