Taarifa muhimu kutoka Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Sirro

Jeshi la Polisi nchini lawataka wananchi kutumia tovuti ya https://lormis.tpf.go.tz  Kwa ajili ya kupata huduma ya loss report  online bila ya kwenda kituoni.