VIDEO: Mbunge CCM asimulia alivyouza mboga akiwa chuoni

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Ester Mahawe ameonyesha kuguswa na adha wanazozipata wanawake wa Kitanzania huku akitolea mfano maisha yake binafsi alipokuwa anasoma chuo.

“Nilikuwa nikiuza mboga za majani aina ya chainizi nikizitoa Mbulu kuzipeleka Singida na wakati Mwingine mboga zikiwa adimu nabadilisha biashara napeleka Mayai”

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE