VIDEO: Sakata la taulo za kike lachukua sura mpya


Katibu wa Ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo Mwanaisha Mndeme amefunguka kuhusiana na sakata la Serikali kupeleka mapendekezo ya kurudisha kodi (VAT) kwa taulo za kike ambapo amesema jambo hilo ni sawa na unyanyasaji kwa wanawake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE