VIDEO: Tazama mazoezi ya mwisho ya Taifa Stars asubuhi hii Uwanja wa Taifa


Timu ya Tanzania (TaifaStars) imefanya mazoezi yake ya mwisho asubuhi hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kabla ya kusafiri Ijumaa hii kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kambi fupi pamoja na kushiriki michiuano ya AFCON 2019 nchini humo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE