VIDEO: Waziri Mpina aibua shangwe Ikulu mbele ya Rais Magufuli


WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameibua shangwe Ikulu baada ya kutaja utajiri mkubwa wa rasilimali za mifugo na uvuvi zilizopo nchini ambapo kwa sasa kuna jumla ya Ng’ombe milioni 32.2 huku kwenye mito, maziwa na bahari kukiwa na kilo bilioni 2.8 za samaki.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE