Waziri Mkuu na mkewe wamjulia hali Mama Maria Nyerere


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakimjulia hali Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es salaam, Juni 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Utakumbuka hapo jana Mke wa Rais, Mhe. Mama Janeth Magufuli alimjulia hali Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere.