Loading...

7/14/2019

Mbao FC yamchukua Hemed Suleiman Morocco

Klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza imemtangaza aliyekuwa Kocha Msaidizi wa  timu ya taifa ya Tanzania TaifaStars  Hemed Suleiman Morocco kuwa kocha wake mkuu akichukua nafasi ya Salum Mayanga aliyeinoa timu hiyo mwishoni mwa msimu uliopita.
Loading...