.

7/14/2019

Rais Magufuli afanya uteuzi huu

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Julius Mtatiro kuwa mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma na Juma Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.