https://monetag.com/?ref_id=TTIb Rais Magufuli awasalimu abiria wa Daladala | Muungwana BLOG

Rais Magufuli awasalimu abiria wa Daladala


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli awasalimu Abiria wa Daladala iliyokuwa ikitoka Bukoba mjini kuelekea Karagwe mjini mara baada ya kuwasilimu wakati waliposimama katika Kituo cha Daladala kilichopo katika kijiji cha Kihanga nje kidogo ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.