Loading...

7/11/2019

Shule 10 bora na za mwisho matokeo ya kidato cha Sita


Na. Thabit Hamidu,Zanzibar

Baraza la Mitahani la taifa (Necta) leo  Julai 11 2019  limetangaza rasmi matokeo ya kidato cha sita Nchini ambapo ufaulu umeonekana kupanda ukilinganisha na mwaka wa jana.

Hizi hapa Shule 10 bora zilizofanya vizuri kwa mwaka 2018/2019;

1.    KISIMIRI, ARUSHA

2.    FEZA BOYS,DAR ES SALAAM

3.    AHMES,PWANI

4.    MWANDET, ARUSHA

5.    TABORA BOYS, TABORA.

6.    KIBAHA,PWANI.

7.    FEZA GIRLS, DAR ES SALAAM.

8.    ST. MARRY MAZINDE JUU,TANGA

9.    CANOSSA,DAR ES SALAAM

10.   KEMEBOS, KAGERA.Shule 10 za mwisho kitaifa

1.    NYAMUNGA, MARA.

2.    HAILE SALASSIE MJINI MAGHARI.

3.    TUMEKUJA,MJINI MAGHARIB

4.    BUMAANGI,MARA

5.    BUTULI,MARA

6.    MPENDAE, MJINI MAGHARIB

7.    ECKERNFORD, TANGA.

8.    MSIMBO, KATAVI.

9.    MONDO, DODOMA.

10. KIEMBE SAMAKI A MJINI MAGHARIB

Loading...