https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: CHADEMA bila CCM isingekuwepo | Muungwana BLOG

VIDEO: CHADEMA bila CCM isingekuwepo


Mwenyekiti wa umoja wa vijana taifa (UVCCM) Kheri James amesema kuwa chama cha CCM bado kinasafari ndefu ya kuongoza nchii kwasababu dhamira yake ni watu na kwa kudhihirisha hilo amesema kuwa CCM iliweza kuzisaidia nchi nyingi afrika katika kupata uhuru na kusema kuwa kuwepo kwa CHADEMA na CUF ni huruma ya CCM

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE BKU-SUBSCRIBE....