VIDEO: JPM amtumbua Waziri January Makamba, Bashe aula


Rais John Pombe Magufuli leo Jumapili, Julai 21, 2019 amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kuchukua nafasi ya January Makamba ambae uteuzi wake umetenguliwa, pia Hussein Bashe ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE