VIDEO: Kigogo CHADEMA atimkia CCM


Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Arusha Mjini Noel Olevaroya ambaye amehamia chama cha mapinduzi CCM amesema kuwa sababu kubwa ni kutokana na unafiki umekuwa mwingi ndani ya Chadema kuliko Uhalisia Huku akimtaja Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE