VIDEO: Mbunge Bobali amvaa waziri Mpango kuhusu bara bara ya Chake Chake hadi Wete


Mbunge wa jimbo la Mchinga, Hamidu Bobali, amemvaa Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuhusu mkataba wa mkopo wa fedha wa SAUD FOUNDATION wa kujenga bara bara yenye kiwango cha lami kutoka Chake Chake hadi Wete, Pemba.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE