VIDEO: Mbunge Bwege aangua kilio hadharani/ Kisa ..


Mbunge wa jimbo la Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu kwa jina la 'Bwege' ameangua kilio mbele ya wanachama wa CUF katika ofisi za wilaya za chama hicho zilizopo Kilwa Kivinje. Bwege aliangua kilio hicho kutokana na madai ya mgogoro uliotokea ndani ya chama chao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE