https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Mbunge mkongwe Lindi amlipua Nape Nnauye/ aahidi mifuko 20 ya saruji | Muungwana BLOG

VIDEO: Mbunge mkongwe Lindi amlipua Nape Nnauye/ aahidi mifuko 20 ya saruji


 Jumatano hii katika kijiji cha Mmumbu, mbunge wa viti maalum mkoa wa Lindi kupitia chama cha CUF, Riziki Lulida, amemlipua mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye na kutoa ahadi ya mifuko 20 ya saruji kwa ajili ya kuwasaidia kwenye ujezi wa majengo kijijini hapo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE