VIDEO: Mbunge wa Mchinga amvaa RC Zambi/ Aombe msamaha/ Sitahudhuria vikao vyake


Mbunge wa jimbo la Mchinga, Hamidu Bobali, Ijumaa hii kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Mipingo, Lindi, amemcharua mkuu wa mkoa huo Godfrey Zambi huku akimtaka awaombe msamaha wananchi wote wa mkoa wake kutokana na kudaiwa kutoa kauli ya kuwaita wavivu kwenye kituo cha radio cha Mashujaa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE