Loading...

Jul 20, 2019

VIDEO: Vituko vya mbunge "Bwege" usipime, lazima ucheke


Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara (CUF) maarufu kwa jina la Bwege amezoeleka kuwa na vituko kila kukicha na kupata bahati ya kukubalika na watu kibao wakiwemo vijana. Ijumaa hii katika kijiji cha Mvuleni kwenye kuzindua matawi cha CUF ameonyesha vituko kibao ambavyo vimewaacha watu wote hoi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger