Loading...

8/04/2019

Basi la kampuni ya Hood lapata ajali

Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1:30 asubuhi na abiria wote wako salama.


Loading...