https://monetag.com/?ref_id=TTIb Emmanuel Okwi asajiliwa rasmi nchini Misri | Muungwana BLOG

Emmanuel Okwi asajiliwa rasmi nchini Misri


Baada ya ukimya wa muda mrefu sasa ni rasmi aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi ametambulishwa kwenye klabu yake mpya ya Itthad Alexandria ya nchini misri na kukabidiwwa jezi namba 19.