Manara afunguka baada ya Simba kutolewa

 Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara afunguka baada ya timu yake kutoka sare ya 1-1 na UD Songo matokeo ambayo yameifanya Simba kutupwa nje ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Manara ameandika haya kwenye ukurasa wake wa facebook;