Mwenyekiti wa Yanga SC azindua Tawi Arusha


Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla leo amefungua tawi la klabu hiyo maeneo ya Kaloleni jijini Arusha ambao pia timu hiyo leo imeacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya AFC Leopards ya Kenya ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wao wa marudiano wa CAF Champions League dhidi ya Township Rollers.